Timu Zilizoondolewa Kwenye Michuano ya CHAN 2024/2025: Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) inaendelea kushuhudiwa matukio ya kushangaza baada ya mataifa kadhaa yenye historia ndefu katika soka la Afrika kuondolewa mapema.
Timu Zilizoondolewa Kwenye Michuano ya CHAN 2024/2025
Hadi sasa, mataifa yafuatayo yametupwa nje ya mashindano hayo:
-
π¨π© DR Congo
-
π¦π΄ Angola
-
πΏπ² Zambia
-
π²π· Mauritania
-
π§π« Burkina Faso
-
π¨π« Jamhuri ya Afrika ya Kati
-
π¬π³ Guinea
-
π³πͺ Niger
-
π³π¬ Nigeria

CHAN ni mchuano maalum unaoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nchi zao pekee. Tofauti na AFCON, ambayo inaruhusu wachezaji kutoka nje ya bara kushiriki, CHAN inalenga kukuza vipaji vya ndani na kuongeza thamani ya ligi za kitaifa.
Kwa hivyo, kutengwa kwa mataifa makubwa kama Nigeria, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Zambia kunachukuliwa kuwa pigo kubwa kwa heshima ya soka lao la kitaifa. Zaidi ya hayo, hutoa jukwaa kwa mataifa madogo, yenye shauku zaidi kuonyesha talanta zao katika mashindano.
SOMA PIA:
Weka maoni yako