TRA Kutangaza Majina ya Waliochaguliwa Kwenye Usaili Leo

TRA Kutangaza Majina ya Waliochaguliwa Kwenye Usaili Leo, Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025, Majina ya Walioitwa Usaili TRA 2025 Kutangazwa Rasmi Machi 22 | Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza majina ya waliofaulu katika mchakato wa awali wa kuajiri watumishi wapya 1,596.

Tangazo hilo litatolewa Machi 22, 2025, kupitia tovuti rasmi ya TRA (www.tra.go.tz).

TRA Kutangaza Majina ya Waliochaguliwa Kwenye Usaili Leo

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa TRA, Moshi Jonathan Kabengwe, waombaji wote wanashauriwa kutembelea tovuti ili kuhakiki majina yao na kupata maelekezo muhimu ya usaili.

TRA Kutangaza Majina ya Waliochaguliwa Kwenye Usaili Leo
TRA Kutangaza Majina ya Waliochaguliwa Kwenye Usaili Leo

Ratiba ya Mahojiano:

  • Tarehe ya Usaili: Machi 29 na 30, 2025
  • Sehemu za Usaili: Kituo namba 9 na vituo vingine vitakavyotangazwa

TRA inawahimiza waombaji kufuata matangazo rasmi ili kuepuka taarifa za kupotosha. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya TRA au ofisi iliyo karibu nawe.

SOMA HAPA MAJINA

CHECK ALSO: