Viingilio vya Yanga vs Dodoma Jiji 22/06/2025 Uwanja wa Amaan Zanzibar

Viingilio vya Yanga vs Dodoma Jiji 22/06/2025 Uwanja wa Amaan Zanzibar | Mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia mtanange mkali kati ya Yanga SC na Dodoma Jiji FC, utakaopigwa Jumapili ya Juni 22, 2025, kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar, kuanzia saa 10:00 jioni.

Mechi hii ni sehemu ya kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya NBC na inatarajiwa kuvuta umati mkubwa wa watu kutokana na ukubwa wa timu na ushindani wa mechi.

Viingilio vya Yanga vs Dodoma Jiji 22/06/2025 Uwanja wa Amaan Zanzibar

Viingilio vya Yanga vs Dodoma Jiji 22/06/2025 Uwanja wa Amaan Zanzibar

Nunua tikiti zako mapema ili kuzuia mikusanyiko ya watu siku ya mechi. Tafadhali fuata taratibu za kuingia kulingana na darasa lako la tikiti. Fika uwanjani mapema ili ushuhudie maandalizi ya mechi na burudani.

  • SAA – Tsh 5,000

  • ORBIT – Tsh 5,000

  • URUSI – Tsh 10,000

  • WINGS – Tsh 15,000

  • VIP – Tsh 30,000

CHECK ALSO:

  1. Ibrahima Keita Kujiunga na Yanga SC, Mazungumzo Yafikia Hatua Nzuri
  2. TETESI za Usajili Singida Black Stars, Wachezaji Wanaoitajika 2025/2026
  3. Je Pacome au Ahoua Nani Anastahili MVP wa Ligi Kuu NBC 2024/2025?
  4. FIFA Kufufua Kombe la Mashirikisho kwa Mfumo Mpya wa Timu 8