Vinara wa Mabao Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025 | Hadi sasa katika msimu wa 2024/2025 CAF Confederation Cup, wachezaji kutoka nchi mbalimbali wameonyesha uwezo mkubwa wa kufunga. Mshambuliaji wa USM Alger ya Algeria, Belkacemi, ndiye mfungaji bora akiwa na mabao matano (5).
Mchezaji wa Nigeria Ihemekwele kutoka Enyimba, anashika nafasi ya pili akiwa na mabao manne (4). Nafasi ya tatu inashikwa na wachezaji sita waliofunga mabao matatu (3) kila mmoja. Miongoni mwao ni mshambuliaji Mtanzania wa Simba SC, Kibu Denis, ambaye anaendelea kuiwakilisha nchi yake kwa mafanikio makubwa.
Vinara wa Mabao Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

🇩🇿 Belkacemi (USMA): 5️⃣
🇳🇬 Ihemekwele (Enyimba): 4️⃣
🇹🇿 Kibu Denis (Simba): 3️⃣
🇧🇫 Dayo (Berkane): 3️⃣
🇹🇳 Ben Youssef (Al Masry): 3️⃣
🇹🇳 Jaziri (Zamalek): 3️⃣
🇲🇦 Zghoudi (Berkane): 3️⃣
Wengine waliopo kwenye nafasi hiyo ni:
Dayo kutoka klabu ya RS Berkane (Burkina Faso)
Ben Youssef wa Al Masry (Tunisia)
Jaziri wa Zamalek (Tunisia)
Zghoudi wa RS Berkane (Morocco)
CHECK ALSO:
Weka maoni yako