Viwango na Ngazi za Mishahara ya Walimu Tanzania 2025 | Mfumo wa elimu nchini Tanzania unategemea sana walimu wenye weledi na ari ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora. Walimu ni nguzo muhimu katika utoaji wa elimu katika ngazi zote za shule, kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu, wakichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
Hata hivyo, suala la mishahara ya walimu limekuwa changamoto kubwa kwa muda mrefu, na kuathiri kwa kiasi kikubwa ari na ufanisi wa kazi zao/Viwango na Ngazi za Mishahara ya Walimu Tanzania 2025.
Hapa tutaangazia viwango vya mishahara ya walimu nchini Tanzania kwa mwaka 2025, tukirejelea mabadiliko yaliyotokea katika miaka ya hivi karibuni na jinsi yanavyoendana na viwango vya maisha. Pia tutajadili mambo mbalimbali yanayoathiri mishahara ya walimu, ikiwemo elimu, uzoefu na sera za serikali/Viwango na Ngazi za Mishahara ya Walimu Tanzania 2025.
Viwango na Ngazi za Mishahara ya Walimu Tanzania 2025
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh 307,200), TGOS A 14(Sh312,800), TGOS A 15(Sh 318,400), TGOS A 16(Sh324,000), TGOS A 17(Sh329,600) na TGOS A 18(Sh335,200).
TGOS B
TGOS B 1. (Sh347,000), TGOS B 2. (Sh356,500) TGOS B 3 . (Sh366,000), TGOS B 4 . (Sh375,500), TGOS B 5. (Sh385,000), TGOS B 6. (Sh394,500), TGOS B 7. (Sh404,000), TGOS B 8. (Sh413,500), TGOS B 9. (Sh423,000), TGOS B 10. (Sh432,500), TGOS B 11 . (Sh442,000) na TGOS B 12. (Sh451,500)TGOS C
TGOS C 1
. (Sh471,000), TGOS C 2 . (Sh482,000), TGOS C 3 . (Sh493,000), TGOS C 4. (Sh504,000), TGOS C 5. (Sh515,000), TGOS C 6. (Sh526,000), TGOS C 7. (Sh537,000), TGOS C 8. (Sh548,000), TGOS C 9. (Sh559,000), TGOS C 10. (Sh570,000), TGOS C 11. (Sh581,000) na TGOS C 12. (Sh592,000).

TGS A
TGS A 1. (Sh249,000), TGS A 2. (Sh255,600), TGS A 3. (Sh262,200 ), TGS A 4. (Sh268,800 ), TGS A 5. (Sh275,400), TGS A 6. (Sh282,000), TGS A 7. (Sh288,600 ), na TGS A 8. (Sh295,200).
TGS B
TGS B 1. (Sh311,000), TGS B 2. (Sh319,500), TGSB 3. (Sh328,000), TGS B 4. (Sh336,500), TGS B 5. (Sh345,000), TGS B 6. (Sh353,500), TGS B 7. (Sh362,000), TGS B 8. (Sh370,000), TGS B 9. (Sh379,000) na TGS B 10. (Sh 387,500).
TGS C
TGS C 1. (Sh410,000), TGS C 2. (Sh420,000), TGS C 3. (Sh430,000), TGS C 4. (Sh440,000), TGS C 5. (Sh450,000), TGS C 6. (Sh460,000), TGS C 7. (Sh470,000) na TGS C 8. (Sh480,000). TGS C 9. (Sh490,000), TGS C 10. (Sh500,000), TGS C 11. (Sh510,000), TGS C 12. (Sh520,000).
TGS D
TGS D 1. (Sh567,000), TGS D 2. (Sh578,500), TGS D 3. (Sh590,000), TGS D 4. (Sh601,500), TGS D 5. (Sh613,000), TGS D 6. (Sh 624,500), TGS D 7. (Sh636,000), TGS D 8. (Sh647,500), TGS D 9. (Sh659,000), TGS D 10. (Sh 670,500), TGS D 11. (Sh 682,000),na TGS D 12. (Sh 693,500).
TGS E
TGS E 1. (Sh751,000), TGS E 2. (Sh766,500), TGS E 3. (Sh782,000), TGS E 4. (Sh797,500), TGS E 5. (Sh813,000), TGS E 6. (Sh828,500), TGS E 7. (Sh844,000), TGS E 8. (Sh859,500), TGS E 9. (Sh875,000), TGS E 10. (Sh890,500), TGS E 11. (Sh906,000), na TGS E 12. (Sh912,500).
TGS F
TGS F 1. (Sh1,003,000 ), TGS F 2. (Sh 1,022,400), TGS F 3. (Sh 1,044,800), TGS F 4. (Sh1,061,200), TGS F 5. (Sh 1,080,600), TGS F 6. (Sh1,100,000), TGS F 7. (Sh1,119,400), TGS F 8. (Sh 1,138,800), TGS F 9. (Sh 1,158,200), TGS F 10. (Sh1,177,600), na TGS F 11. (Sh 1,197,000) TGS F 12. (Sh 1,216,400).
TGS G
TGS G 1. (Sh 1,299,000), TGS G 2. (Sh 1,324,500), TGS G 3. (Sh 1,350,000), TGS G 4. (Sh 1,375,500), TGS G 5. (Sh 1,401,000), TGS G 6. (Sh 1,426,500), TGS G 7. (Sh 1,452,000), TGS G 8. (Sh 1, 477,500), TGS G 9. (Sh 1,503,000), TGS G 10. (Sh 1,528,500), TGS G 11. (Sh 1,554,000), na TGS G 12. (Sh 1,579,500).
TGS H
TGS H 1. (Sh 1,672,000), TGS H 2. (Sh 1,722,000), TGS H 3. (Sh 1,772,000), TGS H 4. (Sh 1,822,000), TGS H 5. (Sh 1,872,000), TGS H 6. (Sh 1,922,000), TGS H 7. (Sh 1,972,000), TGS H 8. (Sh 2,022,000), TGS H 9. (Sh2,072,000), TGS H 10. (Sh 2,122,000), TGS H 11. (Sh 2,172,000) na TGS H 12. (Sh 2,222,000).
TGS I
TGS I-1. (Sh2,317,000), TGS I-2.(Sh 2,413,000), TGS I-3. (Sh 2,509,000) na TGS I-4.(Sh 2,605,000). TGHS I (Sh 2,800,000).
TGHS J
TGHS J (Sh 2,900,000)TGHS K
TGHS K
(Sh 3,100,000)
TGHS L
TGHS L (Sh 3,400,000)
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako