Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale

Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale | Serikali inakagua mishahara ya watumishi wa umma kuanzia Julai 2022.

Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza Sera ya Mishahara na Motisha kwa Watumishi wa Umma ya mwaka 2010, ili kuhakikisha kuwa mishahara ya watumishi inaimarishwa ili kuongeza ari na ufanisi kazini/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.

Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale, Ili kufikia lengo hilo, Serikali imefanya mapitio ya mishahara ya watumishi wake kuanzia tarehe 1 Julai 2022, ambapo ongezeko hilo linajumuisha viwango mbalimbali vya mishahara kwa kuzingatia kiwango cha kazi na uzoefu wa mtumishi.

Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale

Ongezeko la Mishahara kwa Watumishi wa Umma

Marekebisho ya mishahara yaliyoanza kutekelezwa yameleta ongezeko la asilimia tofauti kwa ngazi mbalimbali za watumishi. Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale, Miongoni mwa mabadiliko makubwa ni pamoja na:

  • Kima cha chini cha mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3, kutoka shilingi 300,000 kwa mwezi hadi shilingi 370,000 kwa mwezi.
  • Ngazi nyingine za mishahara pia zimeboreshwa, na ongezeko limegawanywa kulingana na sifa za elimu, uzoefu, na nafasi za kazi katika utumishi wa umma/Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale.

Makundi ya Mishahara kwa Watumishi wa Umma (TGS Salary Scale 2024)

Viwango vya mishahara kwa mwaka 2024 vinafuata mfumo wa Tanzania Government Scale (TGS), ambapo mishahara imegawanywa katika ngazi za TGS A – TGS J kama ifuatavyo, Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale:

  1. Ngazi ya TGS A: Hii ni ngazi ya awali kwa watumishi wa umma.
    • Mshahara wa kuanzia (TGS A.1): Tsh 380,000 kwa mwezi.
  2. Ngazi za kati (TGS B – TGS I): Zina madaraja tofauti kulingana na uzoefu na elimu ya mtumishi.
  3. Ngazi ya TGS J: Hii ni ngazi ya juu kabisa katika mfumo wa mishahara ya watumishi wa umma.
    • Mshahara wa juu kabisa (TGS J.1): Tsh 3,380,000 kwa mwezi.
Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale
Viwango vya Mishahara Watumishi wa Serikali 2025 TGS salary Scale

Viwango vya Mishahara ya TGS A Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS A.1380,000
TGS A.2388,500
TGS A.3397,000
TGS A.4405,500
TGS A.5414,000
TGS A.6422,500
TGS A.7431,000
TGS A.8439,500

Viwango vya Mishahara ya TGS B Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS B.1450,000
TGS B.2461,000
TGS B.3472,000
TGS B.4483,000
TGS B.5494,000
TGS B.6505,000
TGS B.7516,000
TGS B.8527,000
TGS B.9538,000
TGS B.10549,000

Viwango vya Mishahara ya TGS C Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS C.1585,000
TGS C.2598,000
TGS C.3611,000
TGS C.4624,000
TGS C.5637,000
TGS C.6650,000
TGS C.7663,000
TGS C.8676,000
TGS C.9689,000
TGS C.10702,000
TGS C.11715,000
TGS C.12728,000

Viwango vya Mishahara ya TGS D Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS D.1765,000
TGS D.2780,000
TGS D.3795,000
TGS D.4810,000
TGS D.5825,000
TGS D.6840,000
TGS D.7855,000
TGS D.8870,000
TGS D.9885,000
TGS D.10900,000
TGS D.11915,000
TGS D.12930,000

Viwango vya Mishahara ya TGS E Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS E.11,000,000
TGS E.21,019,000
TGS E.31,038,000
TGS E.41,057,000
TGS E.51,076,000
TGS E.61,095,000
TGS E.71,114,000
TGS E.81,133,000
TGS E.91,152,000
TGS E.101,171,000
TGS E.111,190,000
TGS E.121,209,000

Viwango vya Mishahara ya TGS F Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS F.11,300,000
TGS F.21,324,000
TGS F.31,348,000
TGS F.41,372,000
TGS F.51,396,000
TGS F.61,420,000
TGS F.71,444,000
TGS F.81,468,000
TGS F.91,492,000
TGS F.101,516,000
TGS F.111,540,000
TGS F.121,564,000

Viwango vya Mishahara ya TGS G Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS G.11,660,000
TGS G.21,691,000
TGS G.31,722,000
TGS G.41,753,000
TGS G.51,784,000
TGS G.61,815,000
TGS G.71,846,000
TGS G.81,877,000
TGS G.91,908,000
TGS G.101,939,000
TGS G.111,970,000
TGS G.122,001,000

Viwango vya Mishahara ya TGS H, I & J Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS H.12,110,000
TGS H.22,172,000
TGS H.32,234,000
TGS H.42,296,000
TGS H.52,358,000
TGS H.62,420,000
TGS H.72,482,000
TGS H.82,544,000
TGS H.92,606,000
TGS H.102,668,000
TGS H.112,730,000
TGS H.122,792,000
TGS I.12,905,000
TGS I.23,022,000
TGS I.33,139,000
TGS I.43,256,000
TGS J.13,380,000

ANGALIA PIA: