Waamuzi Mechi ya Yanga Leo vs JKT Tanzania CRDB Federation Cup 2024/2025 Nusu Fainali: TFF Yatangaza Majina ya Waamuzi wa Yanga dhidi ya JKT Tanzania – Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi majina ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB msimu wa 2024/2025. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Mei 18, 2025 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, mkoani Tanga, kuanzia saa 10:00 jioni. (4:00 usiku).
Katika mchezo huo, Young Africans (Yanga SC) itamenyana na JKT Tanzania katika harakati za kutinga fainali ya michuano hiyo ya kitaifa.
Waamuzi Mechi ya Yanga Leo vs JKT Tanzania CRDB Federation Cup 2024/2025 Nusu Fainali

Mwamuzi wa kati (REF): Ramadhani Kayoko β Dar es Salaam
Msaidizi 1 (A1): Mohamed Mkono β Tanga
Msaidizi 2 (A2): Hamis Changβwalu β Dar es Salaam
Mwamuzi wa akiba (RR): Tatu Malogo β Tanga
Kamisaa wa Mechi (MC): Khalid Bitebo β Mwanza
Mratibu wa Uwanja (RA): Kudra Omary β Tanga
Mlinzi wa Usalama (MO): Cliford Mario Ndimbo β Dar es Salaam
Msimamizi wa Matangazo (OM): Aaron Nyanda β Dar es Salaam
Mratibu wa Vyombo vya Usalama (SO): Hashim Abdallah β Dodoma
Msimamizi Mkuu wa Mchezo (GC): Harrieth Gilla β Dar es Salaam
Msaidizi wa GC (AGC): Leonard Mruli β Tanga
Msimamizi wa Wageni (BVM): Jamal Abbas β Dar es Salaam
Msimamizi wa Waandishi wa Habari (CS): Beatrice Mgaya β Tanga
Mechi hii ina umuhimu mkubwa kwa timu zote mbili, Yanga ikisaka nafasi ya kulinda heshima yao na JKT Tanzania ikilenga kuwashtua wapinzani wao.
Waamuzi Mechi ya Yanga Leo vs JKT Tanzania CRDB Federation Cup 2024/2025 Nusu Fainali, Uamuzi wa TFF kuteua waamuzi wenye uzoefu kutoka mikoa mbalimbali unalenga kuhakikisha usawa na usawa unazingatiwa katika mchezo huu wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako