Waamuzi wa Mechi ya Yanga SC vs Simba SC Machi 8, 2025

Waamuzi wa Mechi ya Yanga SC vs Simba SC Machi 8, 2025 | Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) itashuhudia moja ya mechi muhimu zaidi msimu huu huku Yanga SC na Simba SC zikimenyana katika mchezo wa Kariakoo derby Machi 8, 2025, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mchezo huu utaanza saa 19:15 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Waamuzi wa Mechi ya Yanga SC vs Simba SC Machi 8, 2025

Majina ya waamuzi wa mechi hiyo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza orodha ya waamuzi watakaochezesha mechi hiyo muhimu. Kwa mujibu wa tangazo hilo, waamuzi walioteuliwa kuchezesha mechi hiyo ni:

Waamuzi Wakuu

  • MC (Msimamizi wa Mechi): Salim Singano (Tanga)
  • REF (Mwamuzi wa Kati): Ahmed Arajiya (Manyara)
  • ASS1 (Msaidizi wa Kwanza): Mohamed Mkono (Tanga)
  • ASS2 (Msaidizi wa Pili): Kassim Mpanga (DSM)
  • 4TH (Mwamuzi wa Akiba): Amina Kyando (Morogoro)
Waamuzi wa Mechi ya Yanga SC vs Simba SC Machi 8, 2025
Waamuzi wa Mechi ya Yanga SC vs Simba SC Machi 8, 2025

Maafisa wa Usimamizi wa Mechi

  • RA (Referee Assessor): Soud Abdi (Arusha)
  • GC (General Coordinator): Baraka Kizuguto (DSM)
  • AGC (Assistant General Coordinator): Jonas Kiwia (DSM)
  • MO (Match Observer): Karim Boimanda (DSM)
  • PO (Public Officer): Fatma Abdallah (DSM)
  • OM (Operations Manager): Jerry Temu (DSM)
  • MD (Match Doctor): Manfred Limbanga (DSM)
  • SOC (Security Officer): ASP Hashim Abdallah (Dodoma)
  • CS (Competition Supervisor): Ramadhan Misiru (DSM)

Mechi ya Yanga SC dhidi ya Simba SC siku zote inajulikana kwa ushindani mkali, na waamuzi wanatarajiwa kuwa makini ili kuhakikisha mchezo unachezwa kwa haki na sheria zote zinafuatwa. Waamuzi hawa wana jukumu la kuudhibiti mchezo kwa weledi mkubwa ili kuhakikisha mashabiki wanashuhudia mechi ya kusisimua na ya haki.

Mechi hii itakuwa na mvuto mkubwa kwa sababu Yanga SC na Simba SC wanapigania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, na matokeo ya mchezo huu yanaweza kuleta athari kubwa kwenye msimamo wa ligi.

CHECK ALSO: