Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026

Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026: Klabu ya Simba SC ambayo ni moja kati ya vilabu vinavyoongoza kwa soka Tanzania na Afrika Mashariki imeendelea kuimarisha orodha yake kuelekea msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa 2025/2026 na hivyo kuthibitisha kusajili wachezaji 11 wa kigeni hadi sasa.

Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026

Aidha, mchezaji mmoja yuko katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kujiunga na klabu hiyo.

Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026
Wachezaji wa Kigeni Ndani ya Simba SC 2025/2026
  • Mousa Camara ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ โ€“ Guinea

  • Rushine De Reuck ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€“ Afrika Kusini

  • Alassane Kantรฉ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ โ€“ Senegal

  • Tariq Bajaber ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช โ€“ Kenya

  • Sowah ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ โ€“ Ghana

  • Neo Maema ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€“ Afrika Kusini

  • Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ โ€“ Zambia

  • Ahoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Ivory Coast

  • Steven Mukwala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ โ€“ Uganda

  • Mpanzu ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ โ€“ Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Chamou ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Ivory Coast

Uwepo wa idadi kubwa ya wachezaji wa kimataifa unadhihirisha dhamira ya Simba SC ya kuwa na kikosi chenye ushindani wa hali ya juu, ndani na nje ya mashindano ya kimataifa mfano Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba SC inaendelea kudhihirisha wepesi na maamuzi ya kimkakati katika soko la usajili, kuhakikisha inakuwa na kikosi imara kinachokidhi matarajio ya mashabiki wa ndani na nje ya Tanzania. Wakati wowote, jina la mchezaji mpya linaweza kutangazwa rasmi, hivyo kuhitimisha hatua muhimu ya maandalizi ya msimu mpya.

CHECK ALSO:

  1. Mbeya City FC Yafanya Maboresho ya Kikosi, Yawaaga Wachezaji 9 na Kusajili 3
  2. JKT Tanzania Yaachana na Wachezaji 7, Dirisha Kubwa La Usajili 2025/26
  3. Mashujaa FC Wameachana na Wachezaji 10 Kuelekea Ligi Kuu Bara 2025/2026
  4. Simba SC Yasaini Mkataba wa Udhamini na Betway wa Bilioni 20 kwa Miaka Mitatu