Wachezaji wa Kigeni Waliosajiliwa Simba 2025/2026: Klabu ya Simba Sports Club inaendelea na maandalizi ya msimu mpya ikiwa na mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wa kigeni. Katika mchakato wa upangaji wa kikosi, Simba SC imeendelea kubaki na idadi ya wachezaji wa kigeni ambao wameonekana kuwa na mchango muhimu ndani ya timu, aidha kwa uzoefu wao, uwezo wa kiufundi, au mchango wao wa moja kwa moja uwanjani.
Wachezaji hawa wa kigeni wanatarajiwa kuendelea kuipa Simba SC nguvu katika mashindano ya ndani na ya kimataifa, hususan Ligi Kuu ya NBC na michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uwepo wao unaongeza ushindani wa ndani ya kikosi na kutoa chaguo pana kwa benchi la ufundi katika kupanga mikakati ya timu.
Wachezaji wa Kigeni Waliosajiliwa Simba 2025/2026
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa kigeni waliosalia Simba SC kwa sasa:

-
Mahmadou Tanja ๐ณ๐ช
-
Rushine De Reuck ๐ฟ๐ฆ
-
Ismael Tourรฉ ๐จ๐ฎ
-
Allasane Kantรฉ ๐ธ๐ณ
-
Nabby Camara ๐ฌ๐ณ
-
Elie Mpanzu ๐จ๐ฉ
-
Libasse Gueye ๐ธ๐ณ
-
Clatous Chama ๐ฟ๐ฒ
-
Jonathan Sowah ๐ฌ๐ญ
-
Mohamedi Bejaber ๐ฐ๐ช
-
Neo Maema ๐ฟ๐ฆ
-
Anicet Oura ๐จ๐ฎ
-
Inno Loemba ๐จ๐ฌ
CHECK ALSO:






Weka maoni yako