Washindi wa Tunzo za Globe Soccer Awards 2025 | Tuzo za Globe Soccer ni tuzo zinazotambua mafanikio katika soka. Tukio hili lilianzishwa mwaka 2010 na Tommaso Bendoni na linamilikiwa na Ricardo Silva.
Inapangwa na Globe Soccer na inahusisha ushiriki kutoka kwa mashirika ya kimataifa ya soka kama vile UEFA, UAE Pro League, ECA (Chama cha Vilabu vya Ulaya), na EFAA (Chama cha Mawakala wa Soka Ulaya). Hufanyika kila mwaka huko Dubai, Falme za Kiarabu. Baadhi ya washirika wa Tuzo za Soka za Globe ni Baraza la Michezo la Dubai na gazeti la Uhispania la Marca.
Sherehe za kila mwaka za hafla hiyo huhudhuriwa na wachezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu, makocha, na watu mashuhuri.
Washindi wa Tunzo za Globe Soccer Awards 2025

BEST LA LIGA PLAYER
Raphinha
Best Player U23
Lamine Yamal
Barรงa have been awarded at the Globe Soccer Awards for winning La Liga last season.
Best La Liga Coach of the Year
Hansi Flick
๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐จ๐๐๐ก ๐๐ฐ๐๐ซ๐
Luis Enrique
๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ฆ๐๐ซ๐ ๐ข๐ง๐ ๐๐ฅ๐๐ฒ๐๐ซ
Dรฉsirรฉ Douรฉ
๐๐จ๐ซ๐ฅ๐โ๐ฌ ๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ข๐๐๐ข๐๐ฅ๐๐๐ซ
Vitinha
๐๐๐ฌ๐ญ ๐
๐จ๐ซ๐ฐ๐๐ซ๐
Lamine Yamal
๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ฅ๐ฎ๐ ๐๐ฐ๐๐ซ๐
PSG
๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ข๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ฅ๐๐ฒ๐๐ซ
Cristiano Ronaldo
๐๐จ๐ซ๐ฅ๐โ๐ฌ ๐๐๐ฌ๐ญ ๐๐ฅ๐๐ฒ๐๐ซ ๐๐๐๐
Ousmane Dembรฉlรฉ (tuzo zingingine mwaka huu: ๐๐๐ฅ๐ฅ๐จ๐ง ๐โ๐๐ซ. ๐
๐๐
๐ ๐๐ก๐ ๐๐๐ฌ๐ญ.)
๐๐๐ซ๐๐๐จ๐ง๐ ๐๐ฐ๐๐ซ๐
Lamine Yamal
CHECK ALSO:






Weka maoni yako