Yanga Leo Yafungwa 3-2 na Singida Black Stars Katika Mechi ya Kirafiki

Yanga Leo Yafungwa 3-2 na Singida Black Stars Katika Mechi ya Kirafiki: MATOKEO Yanga SC Yachapwa 3-2 na Singida Black Stars.

Young Africans SC (Yanga) imepokea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Singida Black Stars katika mchezo wa kirafiki leo. Mechi hiyo ilikuwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hizo kwa ajili ya mashindano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.

Singida Black Stars walionyesha uwezo mkubwa kwa kupata ushindi muhimu dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Yanga Leo Yafungwa 3-2 na Singida Black Stars Katika Mechi ya Kirafiki

Yanga Leo Yafungwa 3-2 na Singida Black Stars Katika Mechi ya Kirafiki
Yanga Leo Yafungwa 3-2 na Singida Black Stars Katika Mechi ya Kirafiki

Yanga SC 2 – 3 Singida Black Stars

Wafungaji wa Mabao:

  • Yanga SC

    • âš½ Prince Dube

    • âš½ Denis Nkane

  • Singida Black Stars

    • âš½ Arthur Bada

    • âš½ Elvis Rupia

    • âš½ Jonathan Sowah

Matokeo ya mechi za kirafiki yasichukuliwe kuwa kiashirio cha moja kwa moja cha ubora wa timu, bali ni sehemu ya maandalizi yao. Yanga na Singida KE zinatarajiwa kuendelea na mafunzo zaidi na programu za michezo kabla ya kuingia kwenye mashindano rasmi.

CHECK ALSO: