Yanga Yatinga Fainali ya CRDB Cup Baada ya Ushidi Vs JKT Tanzania 2-0 | Yanga SC Imeingia Fainali ya CRDB Federation Cup Baada ya Matokeo ya Ushindi dhidi ya JKT Tanzania 2-0 leo Mkwakwan Stadium.
Yanga Yatinga Fainali ya CRDB Cup Baada ya Ushidi Vs JKT Tanzania 2-0
Shughuli ya nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CRDB FA Cup imehitimishwa katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ambapo Young Africans SC (Yanga SC) wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania, na kufuzu rasmi hatua ya fainali ya michuano hiyo ya kifahari.
Yanga SC walionyesha mchezo wa kiwango cha juu, wakitawala sehemu kubwa ya mchezo. Bao la kwanza lilifungwa katika dakika ya 41 kupitia kwa mshambuliaji wao hatari, Dube, kabla ya kiungo mahiri Mudathir Yahya kufunga bao la pili dakika ya 90 na kuhitimisha ushindi wa Wananchi.

Kwa matokeo haya, Yanga SC sasa wanasubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Simba SC na Singida Black Stars, ili kujua nani watakaokutana naye katika fainali ya CRDB FA Cup.
Matokeo ya Mchezo:
- FT: Yanga SC 2-0 JKT Tanzania
⚽ 41’ – Dube
⚽ 90’ – Mudathir Yahya
CHECK ALSO:
- Azizi Ki Kucheza Mchezo Wake wa Mwisho Yanga SC Leo Dhidi ya JKT Tanzania
- Simba Yawasili Tanzania Kutokea Morocco, Maandalizi ya Mchezo wa Marudiano Yaaza
- Waamuzi Mechi ya Yanga Leo vs JKT Tanzania CRDB Federation Cup 2024/2025 Nusu FainaliÂ
- Yanga Vs JKT Tanzania Leo Saa Ngapi? CRBD Federation Cup
- Frimpong Kujiunga na Liverpool kwa €35m ,Mkataba wa Miaka Mitano
Weka maoni yako