Young Africans Sport Club vs Simba SC Leo 16/09/2025 Ngao ya Jamii: Yanga SC vs Simba SC Septemba 16 Saa 11 Jioni Benjamin Mkapa.
Young Africans Sport Club vs Simba SC Leo 16/09/2025
Mashabiki wa soka nchini Tanzania watashuhudia mpambano wa kusisimua kati ya mahasimu wao, Yanga SC na Simba SC, katika mchezo wa Ngao ya Jamii siku ya Jumanne Septemba 16, 2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 11:00 Jioni.
Ngao ya Jamii ni mechi ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, ambayo kwa kawaida huwakutanisha mabingwa wa ligi hiyo na Kombe la FA TFF. Msimu huu, pambano hilo litazikutanisha vigogo wa soka Tanzania, Yanga na Simba, katika kilele cha upinzani wao wa muda mrefu.

Mechi hii sio tu ya mbio za ubingwa, lakini pia mtihani muhimu wa maandalizi ya msimu mpya wa ligi. Timu zote mbili zimetumia muda wa maandalizi ya msimu huu kuimarisha vikosi vyao kwa kusajili wachezaji wapya na kufanya mazoezi ya kimataifa, hivyo mashabiki wanatarajia kuona aina mpya ya ushindani uwanjani.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako