Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025 | Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ratiba rasmi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara msimu wa 2024/2025.
Msimu huu kwenye Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025, timu kadhaa zinashiriki ligi hii, zikicheza katika viwanja tofauti nchini.
Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025
Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025, Ratiba hii imegawanywa katika raundi tofauti kama ifuatavyo:
Raundi ya XIII (4 Machi 2025)
📌 Mashujaa Queens 🆚 JKT Queens – Maj Gen Isamuhyo, 16:00
📌 Alliance Girls 🆚 Gets Program – Nyamagana, 16:00
📌 Bunda Queens 🆚 Fountain Gate Princess – Karume, 16:00
📌 Mlandizi Queens 🆚 Ceasiaa Queens – TFF Centre Kigamboni, 16:00
📌 Simba Queens 🆚 Yanga Princess – KMC, 16:00
Raundi ya XIV (11 – 12 Machi 2025)
📌 Yanga Princess 🆚 Fountain Gate Princess – KMC, 16:00
📌 Mashujaa Queens 🆚 Alliance Girls – Maj Gen Isamuhyo, 16:00
📌 Ceasiaa Queens 🆚 JKT Queens – Samora, 16:00
📌 Mlandizi Queens 🆚 Bunda Queens – TFF Centre Kigamboni, 16:00
📌 Gets Program 🆚 Simba Queens – TFF Centre Kigamboni, 16:00
Raundi ya XV (18 Machi 2025)
📌 Fountain Gate Princess 🆚 Mashujaa Queens – Tanzanite Kwara, 16:00
📌 Bunda Queens 🆚 Alliance Girls – Karume, 16:00
📌 Yanga Princess 🆚 Mlandizi Queens – KMC, 16:00
📌 Ceasiaa Queens 🆚 Gets Program – Samora, 16:00
📌 JKT Queens 🆚 Simba Queens – Maj Gen Isamuhyo, 16:00

Raundi ya XVI (22 Aprili 2025)
📌 Simba Queens 🆚 Mashujaa Queens – KMC, 16:00
📌 Bunda Queens 🆚 Ceasiaa Queens – Karume, 16:00
📌 Alliance Girls 🆚 Mlandizi Queens – Nyamagana, 16:00
📌 Fountain Gate Princess 🆚 Gets Program – Tanzanite Kwara, 16:00
📌 JKT Queens 🆚 Yanga Princess – Maj Gen Isamuhyo, 16:00
Raundi ya XVII (28 – 29 Aprili 2025)
📌 Mlandizi Queens 🆚 Mashujaa Queens – TFF Centre Kigamboni, 16:00
📌 Gets Program 🆚 Yanga Princess – TFF Centre Kigamboni, 16:00
📌 JKT Queens 🆚 Fountain Gate Princess – Maj Gen Isamuhyo, 16:00
📌 Ceasiaa Queens 🆚 Alliance Girls – Samora, 16:00
📌 Simba Queens 🆚 Bunda Queens – KMC, 16:00
Raundi ya XVIII (6 Mei 2025)
📌 Fountain Gate Princess 🆚 Mlandizi Queens – Tanzanite Kwara, 16:00
📌 Mashujaa Queens 🆚 Bunda Queens – Maj Gen Isamuhyo, 16:00
📌 Gets Program 🆚 JKT Queens – TFF Centre Kigamboni, 16:00
📌 Alliance Girls 🆚 Simba Queens – Nyamagana, 16:00
📌 Yanga Princess 🆚 Ceasiaa Queens – KMC, 16:00
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako