Ratiba ya Mechi za Tanzania Taifa Stars AFCON 2025 | Ratiba ya Mechi za Taifa Stars katika Fainali za Mataifa ya Afrika 2025 nchini Morocco.
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashiriki fainali ya michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco. Hii ni fursa muhimu kwa Tanzania kuonyesha uwezo wake katika mashindano makubwa ya soka barani Afrika.
Taifa Stars inakabiliwa na kundi lenye ushindani mkubwa, lakini mashabiki wana matumaini kuwa timu ya Tanzania itafanya vizuri na kutinga hatua ya mtoano.
Ratiba ya Mechi za Tanzania Taifa Stars AFCON 2025

π Nigeria π³π¬ vs Tanzania πΉπΏ
ποΈ Disemba 23, 2025
ποΈ Fez Stadium
π Uganda πΊπ¬ vs Tanzania πΉπΏ
ποΈ Disemba 27, 2025
ποΈ Al Barid Stadium
π Tanzania πΉπΏ vs Tunisia πΉπ³
ποΈ Disemba 30, 2025
ποΈ Prince Moulay Stadium
Endelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu maandalizi ya Taifa Stars kuelekea michuano hii mikubwa ya soka barani Afrika.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako