Matokeo ya Singida Black Stars vs KMC Leo 13/03/2025 CRBD Cup

Matokeo ya Singida Black Stars vs KMC Leo 13/03/2025 CRBD Cup | Singida Black Stars vs KMC: Mechi ya Kombe la Shirikisho Kuchezwa Babati.

Klabu ya Singida Black Stars SC imetangaza kuwa mchezo wao wa kuwania kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya KMC FC utachezwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Babati, Manyara. Mechi hiyo muhimu itachezwa kesho saa 10:00 Jioni, na timu zote zitapambana kuwania nafasi ya kushiriki michuano hiyo.

Awali mechi hiyo ilitarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa CCM Liti, lakini kutokana na kufungiwa kwa uwanja huo, klabu hiyo ililazimika kuhamia Tanzanite Kwaraa.

Kwa mujibu wa Hussein Massanza, Mkurugenzi wa Vyombo vya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Singida Black Stars SC inaendelea na kazi ya kuufanyia ukarabati Uwanja wa CCM Liti kwa ajili ya mechi zijazo za Ligi Kuu ya NBC.

Timu hiyo ina imani kuwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa unatoa mazingira mazuri kwa wachezaji na mashabiki wake. Timu ya Singida Black Stars inakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya KMC FC, lakini inapania kupata ushindi muhimu katika kuelekea kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB na Ligi Kuu ya NBC.

Matokeo ya Singida Black Stars vs KMC Leo 13/03/2025 CRBD Cup

FT| Singida Black Stars      1-0      KMC

  • âš½Lanso (OG)
Matokeo ya Singida Black Stars vs KMC Leo 13/03/2025 CRBD Cup
Matokeo ya Singida Black Stars vs KMC Leo 13/03/2025 CRBD Cup

CHECK ALSO: