Ratiba ya Ligi Daraja la Kwanza Championship 2024-25 | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza rasmi ratiba ya Ligi ya Mabingwa wa NBC, ligi inayotarajiwa kuanza rasmi Septemba 20, 2024. Mashabiki wa soka nchini wanatarajia msimu mwingine wa ushindani mkali kati ya timu zinazoshiriki ligi hiyo maarufu.
Ligi ya Mabingwa wa NBC msimu huu itashirikisha jumla ya timu 16. Kila timu itacheza mechi 30, zikigawanywa katika mechi za nyumbani na ugenini. Hii ina maana jumla ya mechi 240 kwa msimu mzima, huku kila mechi ikiwa na umuhimu mkubwa kwa timu zinazowania nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.
Kama kawaida, msimu huu wa michuano ya NBC unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na mchanganyiko wa timu zenye uzoefu mkubwa na zile zinazopanda kwa kasi kwenye jedwali za ligi hiyo. Kila timu itapambana ili kupata nafasi ya kupanda Ligi Kuu Tanzania au kuepuka kushuka daraja.
Ratiba ya Ligi Daraja la Kwanza Championship 2024-25
Match Week 23
Hii hapa ratiba ya michezo ya NBC Championship League kwa Match Week 23 pamoja na tarehe na muda wa mikutano ya waandishi wa habari kabla ya mechi.

Ijumaa, 14 Machi 2025
- Green Warriors vs TMA FC – (16:00)
Jumamosi, 15 Machi 2025
- Biashara United vs African Sports – (16:00)
- Cosmopolitan vs Mbuni FC – (16:00)
Jumapili, 16 Machi 2025
- Songea United vs Transit Camp – (16:00)
- Polisi Tanzania vs Bigman FC – (16:00)
Jumatatu, 17 Machi 2025
- Geita Gold vs Mbeya Kwanza – (16:00)
- Mbeya City vs Kiluvya FC – (16:30)
- Stand United vs Mtibwa Sugar – (16:00)
CHECK ALSO:
Weka maoni yako