Simba Queens vs Yanga Princess Kupigwa 18/03/2025

Simba Queens vs Yanga Princess Kupigwa 18/03/2025 | Simba Queens vs Yanga Princess: Dabi ya Kariakoo ya Wanawake Machi 18, 2025

Mashabiki wa soka la wanawake Tanzania wanatarajia mchezo mkali na wa kusisimua kati ya Simba Queens na Yanga Princess, maarufu kama Dabi ya Kariakoo ya Wanawake, utakaochezwa Machi 18, 2025, saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex.

Simba Queens vs Yanga Princess Kupigwa 18/03/2025

Msimamo wa Timu Kabla ya Mchezo

Simba Queens:

  • Vinara wa ligi baada ya kucheza mechi 12.
  • Wameshinda michezo 11, sare 1, bila kupoteza mchezo wowote.
  • Wako katika kiwango bora, wakilenga kutetea ubingwa wao na kufuzu tena kwenye mashindano ya kimataifa.

Yanga Princess:

  • Wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.
  • Wameshinda mechi 7, sare 3, na kupoteza michezo 2 katika jumla ya mechi 12 walizocheza.
Simba Queens vs Yanga Princess Kupigwa 18/03/2025
Simba Queens vs Yanga Princess Kupigwa 18/03/2025

Rekodi ya Hivi Karibuni

  • Mchezo wa kwanza wa ligi: Simba Queens walishinda 1-0 kwa bao la Corazone.
  • Mchezo wa Samia Cup: Yanga Princess waliwafunga Simba Queens na kutinga fainali, hatimaye kutwaa ubingwa.

Mchezo mkali unatarajiwa, Yanga Princess wakitaka kulipiza kisasi cha kufungwa katika mechi ya kwanza ya ligi, huku Simba Queens wakihaha kuendeleza ubabe wao na kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msimamo.

Je, Yanga Princess wanaweza kushinda msururu wao wa kupoteza dhidi ya Simba Queens kwenye Ligi Kuu ya Wanawake? Hebu tuone kitakachotokea!

CHECK ALSO: