Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 14/03/2025

Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 14/03/2025, Simba vs Dodoma Jiji Mchezo wa NBC Leo 14/03/2025 | Mechi ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji kuchezwa KMC LEO, NBC Simba vs Dodoma JIJI.

Baada ya mchezo kuhairisha kutokana na matatizo/ajali waliyopata kikosi cha Dodoma jiji fc sasa mchezo huo kufanyika leo kwenye uwanja wa KMC complex majira ya saa 10 jioni.

Mchezo huu wa kiporo unaweza leta matumaini kwa Simba kwenye msimamo wa ligi kuu endapo watashinda, ambapo watabakiza tofauti ya alama 1 na kinara wa ligi Yanga.

Pia mchezo huu ni muimu sana kwa Dodoma jiji kurudisha afya kwenye msimamo wao kwenye ligi kunakoelekea mwisho wa msimu, hivyo inawaitaji juudi ili kupata alama zote 3 mbele ya Simba ikiwa wanakumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa mwisho walipokuta msimu huu kwenye ligi.

Kikosi cha Simba kinamatumaini makubwa sana kuondoka na alama zote 3 kwenye mchezo huo licha ya kuamini kuwa mchezo huo utakuwa mgumu, ndivyo alivyotanabaisha muwakilishi wa wachezaji Duchu kwenye mkutano wa wanahabari.

Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 14/03/2025
Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 14/03/2025

Mashabiki wanaombwa kufika kwa wingi kwenye uwanja wa KMC ili kuzipahamasa timu zao ziweze kufanya vyema kwenye mchezo huu. Simba atakuwa mwenyeji wa mchezo huu wakiwa na imani kubwa kutokana na matokeo ya nyuma zidi ya Dodoma Jiji. Kwenye michezo sita ya mwisho Dodoma jiji ajawai kupata matokeo ya ushindi mbele ya Simba.

Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 14/03/2025

Kikosi cha Simba Leo

  • Ally Salim
  • Kapombe
  • Zimbwe
  • Hamza
  • Chamoua
  • Ahoua
  • Ngoma
  • Kibu
  • Ateba
  • Mpanzu

utabiri wa wachambuzi wengie wa soka kuelekea mchezo huu wameipa ushindi klabu ya Simba dhidi ya Dodoma kulingana na vikosi vya timu zote mbili pamoja na uwezo wa kimbini walionao Simba msimu huu wa 2024-25 kwenye ligi kuu ya NBC na kombe la shirikisho la CAF/Simba vs Dodoma Jiji Mchezo wa NBC Leo 14/03/2025.

Je? wewe kama shabiki wa timu moja wapo hapo unaipa ushindi timu gani katika mchezo huu, weka maoni yako apo chini kwenye comment section tujue….

CHECK ALSO: