Matokeo ya Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025 | Dabi ya Kariakoo ya Wanawake Machi 18, 2025
Mashabiki wa soka la wanawake Tanzania wanatarajia mchezo mkali na wa kusisimua kati ya Simba Queens na Yanga Princess, maarufu kama Dabi ya Kariakoo ya Wanawake, utakaochezwa Machi 18, 2025, saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex.
Mchezo mkali unatarajiwa, Yanga Princess wakitaka kulipiza kisasi cha kufungwa katika mechi ya kwanza ya ligi, huku Simba Queens wakihaha kuendeleza ubabe wao na kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msimamo/Matokeo ya Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025.
Angalia Pia: Kikosi cha Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025
Matokeo ya Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025
FT | SIMBA Q 0-1 YANGA PRINCESS
Yanga Princess wanapata tena ushindi dhidi ya Simba Queens kwenye mchezo wa ligi kuu tangu Aprili 24, 2022.
FT: Simba Queens 0-1 Yanga Princess.
75′ Yanga Princess wanaogoza kwa goli 1-0
48′ Jeannine Mukandayisenga ⚽️
HT’ Simba Queens 0️⃣-0️⃣ Yanga Princess
45′ Simba Queens 0-0 Yanga Princess
Goli la Yanga Princess dhidi ya Simba Queens
#KariakooDerbyWanawake Chuma ya Jeannine Mukandayisenga…. Goli kwa Yanga Princess…..
75’: Simba Queens 0-1 Yanga Princess
Tuko LIVE #AzamSports1HD#LigiKuuYaWanawake #TWPL #TanzaniaWomenPremierLeague #YangaPrincess #SimbaQueens #KariakooDerby #HukuKumenyooka… pic.twitter.com/Z7ALKsjKvC
— Azam TV (@azamtvtz) March 18, 2025

Msimamo wa Timu Kabla ya Mchezo
Simba Queens:
- Vinara wa ligi baada ya kucheza mechi 12.
- Wameshinda michezo 11, sare 1, bila kupoteza mchezo wowote.
- Wako katika kiwango bora, wakilenga kutetea ubingwa wao na kufuzu tena kwenye mashindano ya kimataifa.
Yanga Princess:
- Wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.
- Wameshinda mechi 7, sare 3, na kupoteza michezo 2 katika jumla ya mechi 12 walizocheza.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako