Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | Msimamo wa Kundi E kufuzu kombe la Dunia 2026. Msimamo wa Tanzania Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | Safari ya Taifa Stars kuelekea Kombe la Dunia 2026 | Timu ya Taifa Stars ya Kufuzu Kombe la Dunia

Ndoto ya Tanzania kushiriki Kombe la Dunia 2026 imekuwa ya kusisimua zaidi baada ya droo ya mchujo kuwaweka kwenye kundi E lenye ushindani mkali. Kundi hili linalojumuisha vigogo kama Morocco, Zambia na Congo limepewa jina la “Kundi la Kifo.” Je, Taifa Stars inaweza kuondokana na changamoto hizo na kuandika historia mpya ya soka nchini?

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026
NafasiTimuMPWDLGFGAGDPts
1Morocco55001421215
2Niger42026426
3Tanzania420224-26
4Zambia410367-13
5Congo3003213-110
6Eritrea00000000

✅= Ushindi | ❌= Kichapo | “-” = Haijacheza

CHECK ALSO: