Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025

Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025 | Singida BS yazindua Uwanja mpya wa Airtel kwa mechi maalum dhidi ya Yanga SC Singida, Tanzania – Singida BS itafungua rasmi uwanja wake mpya, Airtel Stadium, Jumatatu Machi 24, 2025.

Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025

Match stoped | SINGIDA BS    1 – 1    YANGA

  • Mchezo umesimama kwa muda kwa sababu ya mvua kubwa hapa Uwanjani. 57′ Singida Black Stars 1️⃣ 🆚 1️⃣ Yanga SC
  • 19′ Ikangalomboooooooo⚽️
  • 1′ Singida BS 0-0 Yanga SC

Tukio hili muhimu kwa klabu na mashabiki wake litaambatana na mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC.

Mchezo huo wa kihistoria utaanza saa 10:00 Jioni na kutoa fursa kwa mashabiki kushuhudia tamasha la soka na kufurahia mandhari ya uwanja huo mpya wa kisasa.

Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025
Matokeo ya Singida Black Stars vs Yanga leo 24/03/2025

Ufunguzi wa Uwanja wa Airtel unatarajiwa kuwa hatua kubwa kwa Singida BS, kuipa timu hiyo mazingira bora ya mazoezi na mechi za nyumbani. Pia ni fursa kwa Yanga SC kuendelea kujipima nguvu kabla ya mechi zao zijazo za ligi na mashindano ya kimataifa.

Wingi wa mashabiki wa soka nchini wanatarajiwa kushuhudia mechi hiyo ya kihistoria na kusherehekea maendeleo ya soka la Tanzania.

CHECK ALSO: