Singida BS Dhidi ya Yanga Leo, Uzinduzi wa Uwanja wa Airtel Stadium | Klabu ya Singida Black Stars itafungua rasmi uwanja wake mpya wa Airtel leo kusherehekea hatua hii ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC.
Singida BS Dhidi ya Yanga Leo, Uzinduzi wa Uwanja wa Airtel Stadium
Taarifa muhimu za mechi
📅 Tarehe: Leo
⏰ Muda: 10:00 Jioni
📍 Uwanja: Uwanja wa Airtel, Singida
📺 Mtangazaji: Azam Sports 1 HD
Mechi ya kuvutia inatarajiwa, huku mashabiki wa soka wakisubiri kuona jinsi Singida Black Stars itakavyotumia uwanja wake mpya. Yanga SC wakiwa na kikosi cha nyota, watasaka ushindi na kuendeleza rekodi yao kali dhidi ya wapinzani wao wa huko.
Hii ni hatua kubwa kwa Singida black stars, kwani uwanja huu utakuwa nyumbani kwa timu hiyo kwa mechi za Ligi Kuu na mashindano mengine ya ndani. Mashabiki wa soka wanasubiri kwa hamu mchezo wa hali ya juu kutoka kwa timu zote mbili.
Muonekano wa uwanja wa Airtel Stadium
VIDEO: Uwanja wa Airtel Stadium unaomilikiwa na Singida Black Stars 🇹🇿 pic.twitter.com/X5zPGAJN4b
— FELIX JASON (@Iamfelixtz) March 24, 2025
CHECK ALSO:
Weka maoni yako