Matokeo ya Taifa Stars Dhidi ya Morocco Leo 25/03/2025: Je Morocco vs Tanzania ni Saa Ngapi? Mechi ya Kufuzu Kombe la Dunia | Morocco vs Tanzania Leo, Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 25/03/2025.
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani leo saa 6:30 kwa saa za Afrika Mashariki kumenyana na Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.
Matokeo ya Taifa Stars Dhidi ya Morocco Leo 25/03/2025
FT | MOROCCO 2 – 0 TANZANIA
Morocxo inapata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Tanzania Taifa stars nakufifisha matumaini ya Stars kufuzu kombe la Dunia 2026.
58′ Morocco wanapata goli la pili kupitia kwa Diaz kwa mkwaju wa penati
51′ Gooaaaal for Morocco: Aguerd anaitanguliza Morocco mapema kupidi cha pili
HT’ Morocco 🇲🇦 0️⃣ – 0️⃣🇹🇿 Tanzania.. Kipikifanyike kipindi cha pili dondosha coment yako
23’ Morocco 🇲🇦 0️⃣ – 0️⃣🇹🇿 Tanzania
Mechi hii ni sehemu ya kampeni za kufuzu kwa michuano hiyo mikuu ya soka duniani, na Taifa Stars inapigania kupata matokeo mazuri dhidi ya moja ya timu bora barani Afrika.

Hadi sasa, Morocco inaongoza Kundi E, huku Taifa Stars ikishika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi hilo. Ushindi katika mechi ya leo utakuwa muhimu kwa Tanzania kuimarisha nafasi yake katika mbio za kufuzu. Pamoja na kwamba Morocco ni timu yenye uzoefu mkubwa wa kimataifa, Taifa Stars inatarajia kupata matokeo mazuri kwa kutumia ari ya hali ya juu na ari ya wachezaji wake.
Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku mashabiki wa soka wakisubiri kuona iwapo Taifa Stars inaweza kuibuka na ushindi dhidi ya wababe hao wa soka barani Afrika.
CHECK ALSO:
Taifa Stars inashinda goli 3 kwa 1 kati ya goli hizo moja anafunga mwalim, mzinze na Msuva
Naisubiria timu yangu ya Simba SC ndo niinjoy