Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC Leo 10/04/2025

Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC Leo 10/04/2025: Azam FC vs Yanga SC Leo, Alhamisi: Dar es Salaam Derby yaamua hatima ya kulipa kisasi au muendelezo wa kushindwa

Leo Alhamisi katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), jiji la Dar es Salaam linashuhudia moja ya mechi muhimu za soka nchini: Dar es Salaam derby kati ya Azam FC na Yanga SC.

Katika mzunguko wa kwanza wa ligi msimu huu, Azam FC iliibuka na ushindi dhidi ya Yanga SC, na kudhihirisha ubora wao mbele ya mashabiki wao. Ushindi huo ulimpa heshima kubwa Chamazi, huku Yanga wakibaki na kiu ya kulipa kisasi.

Sasa, Wananchi wanarejea uwanjani wakiwa na matumaini ya kulipa kisasi na kurejesha heshima yao, huku Azam FC ikiwa na lengo la kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya mabingwa hao wa zamani.

Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC Leo 10/04/2025

Kikosi cha Yanga kinachoaza leo dhidi ya Azam

  • DIARRA
  • BOKA
  • KIBWANA
  • JOB
  • BACCA
  • ABUYA
  • MUDATHIR
  • MAXI
  • PACOME
  • CHAMA JR
  • DUBE

Kikosi cha Azam kinachoaza leo

  • FOBA
  • MWAIKENDA
  • MSINDO
  • DIABY
  • MEZA
  • ZAYD
  • SILLAH
  • AKAMINKO
  • SOPU
  • FEI TOTO
  • NADO
Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC Leo 10/04/2025
Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC Leo 10/04/2025

Mashabiki wanahimizwa kufika kwa wakati na kuheshimu amani na utulivu ndani na nje ya uwanja. TFF na vyombo vya sheria vimesisitiza kuwa mchezo huu ni wa ushindani lakini lazima uchezwe na kufurahishwa kwa nidhamu.

CHECK ALSO: