Mechi ya Yanga Vs Simba Kupigwa June 15, 2025 TFF Watoa Ratiba Kamili

Mechi ya Yanga Vs Simba Kupigwa June 15, 2025 TFF Watoa Ratiba Kamili, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi kuwa pambano la watani wa jadi, Yanga SC dhidi ya Simba SC, litapigwa tarehe 15 Juni, licha ya mvutano uliopo kuhusiana na mchezo huo.

Tangazo hilo limekuja wakati ambao klabu ya Yanga tayari imeshatangaza msimamo wa kutoshiriki mechi hiyo kwa madai ya kutotendewa haki kwenye baadhi ya maamuzi ya awali ya ligi. Hata hivyo, CAS na TFF wamesisitiza kwamba mchezo huo upo kwenye ratiba rasmi ya Ligi Kuu.

Kwa mujibu wa Kanuni za Ligi Kuu, hasa kipengele cha 31 na 32, klabu yoyote itakayoshindwa kushiriki ikaingia mitini mechi iliyopangwa kwa mujibu wa ratiba, itapoteza mchezo huo kwa bao 3-0, kutozwa faini, na kupokonywa pointi 15, adhabu ambayo inaweza kuathiri pakubwa nafasi ya timu husika kwenye msimamo wa ligi.

Mechi ya Yanga Vs Simba Kupigwa June 15, 2025 TFF Watoa Ratiba Kamili

Mechi ya Yanga Vs Simba Kupigwa June 15, 2025 TFF Watoa Ratiba Kamili

CHECK ALSO: