KIKOSI cha Taifa Stars Leo vs South Afrika 06/06/2025

KIKOSI cha Taifa Stars Leo vs South Afrika 06/06/2025, South Africa vs Tanzania Leo Saa Ngapi?: Taifa Stars Tanzania Leo vs Afrika Kusini 6/06/2025, Leo Ijumaa Juni 6, 2025, timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana). Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja Mpya wa Peter Mokaba mjini Polokwane, Afrika Kusini.

Mechi hii ni sehemu ya maandalizi ya timu zote mbili kuelekea michuano mikubwa ya kimataifa. Kwa Tanzania, inawakilisha fursa ya kuimarisha kikosi na kuwapa wachezaji wapya nafasi ya kuonyesha ujuzi wao dhidi ya wapinzani wa Afrika wenye uzoefu.

KIKOSI cha Taifa Stars Leo vs South Afrika 06/06/2025

Hiki hapa kikosi kinachoaza leo cha Taifa Stars dhidi ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa:-

KIKOSI cha Taifa Stars Leo vs South Afrika 06/06/2025
KIKOSI cha Taifa Stars Leo vs South Afrika 06/06/2025
  • Timu: Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ vs πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania

  • Tarehe: Ijumaa, 6 Juni 2025

  • Uwanja: Uwanja Mpya wa Peter Mokaba, Polokwane

  • Muda: Saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Timu zote zinatarajiwa kuonesha kandanda safi na la kuvutia, huku makocha wakitumia mchezo huu kupima mbinu mpya na mikakati ya kiufundi.

CHECK ALSO: