Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18

Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18 | Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaelekea ukingoni ambapo Mechi 29 inatarajiwa kuchezwa Jumatano hii Juni 18, 2025.

Katika hatua hii muhimu ya msimu huu, jumla ya mechi nane zitachezwa kwa wakati mmoja kuanzia saa 10:00 Jioni, hatua inayolenga kuhakikisha kunakuwepo na ushindani wa haki kuelekea mwisho wa msimu huu.

Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18

Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18
Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18

Pamba Jiji vs JKT Tanzania – LIVE Sinema Zetu.

Namungo vs Kagera Sugar – LIVE Azam ONE.

Dodoma Jiji vs Singida BS – LIVE Azam Sports4.

Mashujaa vs KMC FC – LIVE UTV.

KenGold vs Simba SC – LIVE Azam Sports 2.

Tanzania Prisons vs Young Africans (Yanga SC) – LIVE Azam Sports 1 HD.

Azam FC vs Tabora United – LIVE Azam Sports 3.

Coastal Union vs Fountain Gate – LIVE Azam TWO.

Kwa mujibu wa bodi ya ligi, upangaji huu wa mechi zote kuanza kwa wakati mmoja unalenga kuimarisha usawa na kuondoa upendeleo wowote katika mbio za ubingwa na vita ya kushuka daraja.

CHECK ALSO:

  1. Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2024/2025
  2. Orodha ya Vilabu Bora Afrika CAF 2025 Club Ranking
  3. Viwango vya Ubora Barani Africa CAF Club Ranking 2025
  4. Ratiba ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025
  5. Kariakoo Derby Yanga vs Simba Kuchezwa Juni 25, 2025