CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026

CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026: Beki wa kushoto raia wa Cameroon, Jonathan Ngwem ameanza mazoezi rasmi na klabu ya Simba Sports Club ya Tanzania, iliyopo nchini Misri kwa ajili ya msimu wa 2025/2026.

Akiwa mchezaji huru kufuatia kumalizika kwa mkataba wake na klabu ya Modern Future FC ya Misri, Ngwem kwa sasa anafanya mazoezi na Wekundu hao wa Msimbazi kwa ajili ya majaribio ya kutathmini ujuzi wake kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho kuhusu uhamisho wake.

Kwa mujibu wa habari za ndani ya klabu hiyo, kocha wa Simba SC, Fadlu Davids ndiye anayesimamia majaribio ya Jonathan Ngwem. Iwapo itaridhika na utendaji wake, Simba SC itamsainisha mkataba wa mwaka mmoja/CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026.

CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026
CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026

Ngwem mwenye uzoefu wa soka la kimataifa ana uwezo wa kucheza nafasi ya beki wa kushoto na amecheza kwa misimu kadhaa na timu ya taifa ya Cameroon (The Indomitable Lions).

CV ya Jonathan Ngwem wa Simba 2025/2026

Personal information
Full name Jonathan Joseph Ngwem
Date of birth 20 July 1991 (age 34)
Place of birth Douala, Cameroon
Height 1.78 m (5 ft 10 in)
Position(s) Left back
Team information
Current team
Simba SC
Number 13
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2011–2012 Pouma
2013–2014 Jeunesse Bonamoussadi
2015–2016 Unisport
2016–2017 Progresso do Sambizanga 6 (1)
2018 Unisport
2018–2021 El Gouna 82 (1)
2021– Future FC 11 (0)
International career‡
2015– Cameroon 10 (0)

Endapo Ngwem atasajiliwa ataongeza ushindani kwenye nafasi ya beki wa kushoto ambayo tayari imeimarishwa na ujio wa Anthony Mligo kutoka Namungo FC. Simba SC inaendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kufikia msimu bora zaidi ndani na nje ya Tanzania.

CHECK ALSO:

  1. Jonathan Ngwem Ajiunga na Kambi ya Simba Nchini Misri kwa Majaribio
  2. Simba Yamsajili Anthony Mligo Kutoka Namungo FC
  3. Droo ya CAF 2025/26 Kufanyika Azam TV, Agosti 9 Saa 8 Mchana
  4. Ratiba ya CHAN 2025 Leo