Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025

Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025 | Katika kujiandaa na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025, klabu maarufu ya Al Ahly FC ya Misri imetangaza kikosi chake rasmi kwa ajili ya michuano hiyo itakayofanyika kuanzia Juni 14 hadi Julai 13, 2025.

Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025

Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025
Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025
# Player Name Name on Shirt Nationality
1 MOHAMED ELSHENAWY M. ELSHENAWY Egypt
2 KHALED ABDELFATTAH K. ABDELFATTAH Egypt
3 OMAR KAMAL O. KAMAL Egypt
4 AHMED RAMADAN A. RAMADAN Egypt
5 BEN ROMDHANE Mohamed Ali BEN ROMDHANE Tunisia
6 YASSER IBRAHIM YASSER Egypt
7 TREZEGUET M. TREZEGUET Egypt
8 HAMDY FATHY H. FATHY Egypt
9 WESSAM ABOU ALI ABOU ALI Palestine
10 GRADISAR Nejc GRADISAR Slovenia
11 KARIM EL DEBES K. ELDEBES Egypt
13 MARAWAN ATTIA M. ATTIA Egypt
14 HUSSEIN ELSHAHAT H. ELSHAHAT Egypt
15 DARI Achraf DARI Morocco
17 BENCHARKI Achraf A. BENCHARKI Morocco
19 MOHAMED AFSHA AFSHA Egypt
22 EMAN ASHOUR E. ASHOUR Egypt
24 DIENG Aliou DIENG Mali
25 AHMED REDA A. REDA Egypt
26 ZIZO ZIZO Egypt
28 MOHAMED SEHA M. SEHA Egypt
29 MOSTAFA EL AASH M. ELASH Egypt
30 TAHER MOHAMED TAHER Egypt
32 MOHAMED HANY M. HANY Egypt
31 MOSTAFA SHOUIBIR SHOUIBIR Egypt
36 AHMED KOKA A. KOKA Egypt
37 MOSTAFA MAHKHLOUF M. MAHKHLOUF Egypt
54 ATTIAT-ALLAH Yahya Y. ATTIAT ALLAH Morocco

Kocha Mkuu:

  • José Luis Riverio Cabaleiro (Raia wa Hispania)

Kikosi cha Al Ahly FC kwa FIFA Club World Cup 2025 kinaonekana kuwa na mchanganyiko mzuri wa uzoefu na vipaji vipya kutoka Afrika Kaskazini na kwingineko. Mashabiki wanatarajia kuona kiwango cha juu cha ushindani kutoka kwa mabingwa hawa wa Afrika/Kikosi cha Al Ahly FC kwa Kombe la Dunia la Vilabu FIFA 2025.

CHECK ALSO:

  1. Kaizer Chiefs Signing Transfer News Today 2025 to 2026
  2. Taifa Stars Yaaga COSAFA CUP Licha ya Ushindi Dhidi ya Eswatini
  3. Zawadi ya Bingwa Kombe la CRDB Federation Cup 2025
  4. Aishi Manula Atua Azam Rasmi Baada ya Miaka 8 Simba