Kikosi cha KondeGang FC Kwenye Michuano ya Samia Cup 2025 | Michuano ya Samia 2025 Celebrities and Companies Cup inaendelea kushika kasi, huku KondeGang FC ikitangaza kikosi chake cha kuanzia kwa mechi muhimu ya mashindano hayo.
Kikosi cha KondeGang FC Kwenye Michuano ya Samia Cup 2025
- Tundaman (GK)
- Ninja
- Chaupole
- Mkude
- Ndemla
- Kondeboy (C)
- Aziz Ki
- Baleke
- Yasin Jr (GK)
- Hussein Jr
- DJ Seven
- Bangala
- Miracle
- Pogba
- Chris Messi
- Iddi
- Zonzi
- Ajibu Migomba

Benchi la Ufundi
- Kocha Mkuu: Choppa
- Kocha Msaidizi: Stan Bakora
CHECK ALSO:
Weka maoni yako