Kikosi cha Simba Kinachosafari Kwenda Misri Mchezo Dhidi ya Al Masry: Simba SC imetangaza kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Misri kwa ajili ya mechi yake muhimu dhidi ya Al Masry SC Aprili 2, 2025. Mechi hii ni sehemu ya kampeni za timu hiyo katika michuano ya kimataifa, ambapo Simba SC inatarajia kupata matokeo mazuri ugenini.
Kikosi cha Simba Kinachosafari Kwenda Misri Mchezo Dhidi ya Al Masry
Kikosi Kitakachosafiri

Makipa (Goalkeepers)
Moussa Camara
Ally Salim
Hussein Abel
Mabeki (Defenders)
Karaboue Chamdou
Abourazak Hamza
Mohamed Hussein
Shomari Kapombe
Valentine Nouma
David Kameta
Kelvin Kijili
Viungo (Midfielders)
Yusuph Kagoma
Fabrice Ngoma
Elie Mpanzu
Debora Fernandes
Ladack Chasambi
Kibu Denis
Awesu Awesu
Jean Charles Ahoua
Augustine Okejpha
Joshua Mutale
Washambuliaji (Strikers)
Leonel Ateba
Steven Mukwala
Timu hii ina mchanganyiko wa wachezaji wazoefu na chipukizi, jambo linalodhihirisha kuwa Simba SC inaelekea kwenye mechi hii ikiwa na mipango madhubuti ya kushinda. Mashabiki wa Simba SC wanatarajia kuiona timu yao ikifanya vyema na kurejea nyumbani na matokeo ya nguvu.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako