Kikosi cha Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025, Matokeo ya Simba Queens vs Yanga Princess Leo | Dabi ya Kariakoo ya Wanawake Machi 18, 2025
Mashabiki wa soka la wanawake Tanzania wanatarajia mchezo mkali na wa kusisimua kati ya Simba Queens na Yanga Princess, maarufu kama Dabi ya Kariakoo ya Wanawake, utakaochezwa Machi 18, 2025, saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex.
Mchezo mkali unatarajiwa, Yanga Princess wakitaka kulipiza kisasi cha kufungwa katika mechi ya kwanza ya ligi, huku Simba Queens wakihaha kuendeleza ubabe wao na kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msimamo.
Kikosi cha Simba Queens vs Yanga Princess Leo 18/03/2025
Kikosi cha Yanga Princess
Kikosi cha Simba Q
CHECK ALSO:
Weka maoni yako