Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025, MATOKEO ya Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025 COSAFA Cup | Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, itacheza kwa mara ya kwanza Jumatano hii, Juni 11, 2025, dhidi ya Eswatini katika Kundi C la Kombe la COSAFA. Mechi hii muhimu itaanza saa 10:00 Jioni (Saa za Afrika Mashariki).

Mechi hii ni sehemu ya hatua ya makundi ya mashindano ya COSAFA, yanayoshirikisha mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika. Kundi C linajumuisha timu za Tanzania, Eswatini, na Madagascar.

Taifa Stars ikiwa ni timu mgeni katika michuano hii, inatarajiwa kuonyesha kiwango cha juu na kupambana kutinga hatua ya mtoano. Mechi dhidi ya Eswatini ni muhimu kwa Tanzania, hasa ili kujiweka vizuri na kufuzu kwa robo fainali.

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025
Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025

CHECK ALSO:

  1. MATOKEO ya Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025 COSAFA Cup
  2. TFF Yakanusha Kudaiwa na Yanga Tsh 200 Milioni
  3. CRDB Bank Yakanusha Madai ya Kutolipa Zawadi ya Ubingwa wa Federation Cup 2023/2024
  4. Sakata la Dabi ya Kariakoo Juni 15, Tiketi za Machi 8 Zitatumika
  5. Jezi Mpya ya FC Bayern Munich Kwa Msimu wa 2025/2026