Kocha Salum Mayanga Ajiunga na Mashujaa FC Akitokea Mbeya City

Kocha Salum Mayanga Ajiunga na Mashujaa FC Akitokea Mbeya City | Kocha Salum Mayanga amejiunga rasmi na Mashujaa FC akitokea Mbeya City timu inayoshiriki michuano ya NBC.

Kocha Salum Mayanga Ajiunga na Mashujaa FC Akitokea Mbeya City

Mayanga ambaye ameiongoza vyema Mbeya City msimu huu, ameiwezesha timu hiyo kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB na hadi sasa inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa michuano hiyo ikiwa na pointi 49.

Ujio wake katika klabu ya Mashujaa FC ni matumaini makubwa kwa timu hiyo, kwani ana rekodi nzuri ya mafanikio katika klabu alizowahi kuziongoza.

Kocha Salum Mayanga Ajiunga na Mashujaa FC Akitokea Mbeya City

Mashabiki wa Mashujaa FC wanatarajia kuona mchango wake mkubwa wakati timu hiyo ikiendelea na safari ya kuelekea mafanikio makubwa zaidi msimu huu.

Endelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu usajili wao mpya!

CHECK ALSO: