Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | Tanzania Yapangwa Kundi E Kwenye Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Tanzania yapangwa Kundi E kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza makundi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026, ambalo litafanyika nchini Canada, Mexico, na Marekani. Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi E, pamoja na Morocco, Congo, Niger, Eritrea na Zambia.

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kulingana na kanuni za CAF, mshindi wa kila kundi atafuzu moja kwa moja kwa Kombe la Dunia la 2026. Maana yake ni lazima Taifa Stars imalize ya kwanza Kundi E ili kufuzu moja kwa moja.

Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Licha ya changamoto kubwa inayoikabili timu ya Morocco ambayo tayari imeonyesha ubora wake kwa kufuzu mapema, bado Taifa Stars ina nafasi ya kushindana na kupata nafasi ya kushiriki michuano mikubwa ya dunia. Wachezaji wa soka wa Tanzania wanatarajia timu yao itapambana kwa nguvu zote ili kutimiza ndoto yake ya kufuzu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.

Msimamo wa Kundi E

RankClub
1Morocco55001421215
2Niger42026426
3Tanzania420224-26
4Zambia410367-13
5Congo3003213-110
6Eritrea00000000

CHECK ALSO: