Mashemeji Derby Kupigwa Jumapili Nyayo Stadium

Mashemeji Derby Kupigwa Jumapili Nyayo Stadium | Jumapili hii mashabiki wa soka nchini Kenya wataweza kutazama mechi ya Mashemeji derby ambapo AFC Leopards watawakaribisha mabingwa watetezi Gor Mahia katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.

Mashemeji Derby Kupigwa Jumapili Nyayo Stadium

Mechi ya Ligi Kuu ya Kenya (FKF Premier League) itaanza saa 10:00 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Mashemeji derby ni mojawapo ya mechi muhimu zaidi katika historia ya soka ya Kenya, na inaonyesha ushindani wa muda mrefu kati ya klabu hizi mbili za wakongwe. Mashabiki wanatarajia mechi kali, huku AFC Leopards wakipania kumenyana na Gor Mahia, ambao wamekuwa na rekodi bora zaidi ligini msimu huu.

Mashemeji Derby Kupigwa Jumapili Nyayo Stadium
Mashemeji Derby Kupigwa Jumapili Nyayo Stadium

Matarajio ni makubwa kwa timu zote mbili, huku mashabiki wakisubiri kuona nani ataibuka kidedea kwenye Mashemeji derby ya mwaka huu.

CHECK ALSO: