MATOKEO ya Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025 COSAFA Cup | Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, itacheza kwa mara ya kwanza Jumatano hii, Juni 11, 2025, dhidi ya Eswatini katika Kundi C la Kombe la COSAFA. Mechi hii muhimu itaanza saa 10:00 Jioni (Saa za Afrika Mashariki).
Mechi hii ni sehemu ya hatua ya makundi ya mashindano ya COSAFA, yanayoshirikisha mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika. Kundi C linajumuisha timu za Tanzania, Eswatini, na Madagascar.
Taifa Stars ikiwa ni timu mgeni katika michuano hii, inatarajiwa kuonyesha kiwango cha juu na kupambana kutinga hatua ya mtoano. Mechi dhidi ya Eswatini ni muhimu kwa Tanzania, hasa ili kujiweka vizuri na kufuzu kwa robo fainali.
MATOKEO ya Taifa Stars Leo vs Eswatini 11/06/2025 COSAFA Cup
FT | Eswatin 🇸🇿1️⃣ – 2️⃣ 🇹🇿 Tanzania
Idd Nado ⚽️
Sheikhan Khamis ⚽️

CHECK ALSO:
Weka maoni yako