Matokeo ya Tanzania Leo vs Afrika Kusini 6/06/2025, Leo Ijumaa Juni 6, 2025, timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana). Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja Mpya wa Peter Mokaba mjini Polokwane, Afrika Kusini.
Mechi hii ni sehemu ya maandalizi ya timu zote mbili kuelekea michuano mikubwa ya kimataifa. Kwa Tanzania, inawakilisha fursa ya kuimarisha kikosi na kuwapa wachezaji wapya nafasi ya kuonyesha ujuzi wao dhidi ya wapinzani wa Afrika wenye uzoefu.
Matokeo ya Tanzania Leo vs Afrika Kusini 6/06/2025
Timu: Afrika Kusini πΏπ¦ vs πΉπΏ Tanzania
Tarehe: Ijumaa, 6 Juni 2025
Uwanja: Uwanja Mpya wa Peter Mokaba, Polokwane
Muda: Saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Timu zote zinatarajiwa kuonesha kandanda safi na la kuvutia, huku makocha wakitumia mchezo huu kupima mbinu mpya na mikakati ya kiufundi.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako