Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025

Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025, Yanga vs Songea United Leo, Mchezo wa Kombe la Shirikisho la CRDB 2025 | Katika harakati zao za kuwania kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2025, Young Africans SC (Yanga SC) itamenyana na Songea United leo Machi 29, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Mechi hiyo imepangwa kufanyika saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Baada ya kudhihirisha ubora wao katika mashindano kadhaa msimu huu, Yanga SC inatarajia kuongeza uzoefu wao ili kushinda mechi hii na kutinga robo fainali. Timu ya Yanga ina wachezaji wazoefu na mashabiki wao wanatarajia matokeo mazuri.

Kwa Songea United, hii ni fursa nzuri ya kuonyesha nguvu zao dhidi ya moja ya timu kubwa nchini Tanzania. Timu hii inakabiliwa na changamoto kubwa, lakini ina wachezaji wenye njaa ya ushindi. Endapo Songea United itashinda itaweka historia kubwa kwa klabu hiyo.

Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025

Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025
Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025

Mpira Umekwisha | Yanga       2 – 0       Songea United

  • F𝐓 ⏱️Young Africans 2️⃣ – 0️⃣ Songea United
  • 85’ Young Africans SC 2-0 Songea United
  • 75’ Young Africans 2️⃣ – 0️⃣ Songea United (⚽️Abuya, ⚽️Ikangalombo)
  • 54′ GOAL lapili kutoka kwa Ikanga Lombo, ASSIST ya Pacome
  • 50’ Young Africans 1️⃣ – 0️⃣ Songea United (⚽️Abuya)
  • 𝐇𝐓⏱️| CRDBBankFederationCup – Young Africans SC 1-0 Songea United
  • 40’ Young Africans 1️⃣ – 0️⃣ Songea United
  • 22′ Abuya anaitanguliza Yanga
  • 20′ Yanga SC 0-0 Songea United
  • 10’ Young Africans 0️⃣ – 0️⃣ Songea United
  • MECHI KUANZA: SAA 10:00

KIKOSI kitakachoaza leo

  • Khomeiny
  • Israel
  • Boka
  • Mwamnyeto
  • Andabwile
  • Shekhan
  • Maxi
  • Sureboy
  • Abuya
  • Ikangalombo
  • Pacome

Mashabiki wa soka wanatarajia mechi yenye msisimko mkubwa huku Yanga SC ikipania kutwaa taji la Kombe la Shirikisho la CRDB. Matokeo ya mechi hii yatakuwa na umuhimu mkubwa kwa timu zote mbili/Matokeo ya Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025.

CHECK ALSO: