Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025

Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025 | Azam FC ni moja ya klabu maarufu nchini Tanzania na inashiriki Ligi Kuu ya Tanzania. Klabu hii imewekeza fedha nyingi kwa wachezaji wake, kuhakikisha wanapokea mishahara mizuri inayolingana na juhudi zao uwanjani.

Mishahara ya wachezaji wa Azam FC inadhihirisha uwekezaji mkubwa wa klabu hiyo katika kuhakikisha wachezaji wanapata marupurupu wanayostahili/Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025.

Hii inachangia utendaji bora wa timu na kuvutia wachezaji wenye vipaji. Azam FC imesalia kuwa miongoni mwa klabu zinazoongoza Ligi Kuu Tanzania kwa kuangalia maslahi ya wachezaji wake.

Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025
Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025

Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025

#PlayerNat.Salary value
16Mohamed MustafaGoalkeeperSudan11M
28Zuberi FobaGoalkeeperTanzania
24Yeison FuentesCentre-BackColombia8M
5Lusajo MwaikendaCentre-BackTanzania5M
Franck ZouzouCentre-BackCote d’Ivoire12M
Yoro DiabyCentre-BackMali13M
25Abdalla KheriCentre-BackZanzibar3M
27Ahoutou Angenor ZouzouCentre-BackCote d’Ivoire15M
12Pascal MsindoLeft-BackTanzania4M
20Nathaniel ChilamboRight-BackTanzania3.5M
Ever MezaDefensive MidfieldColombia10M
14Mamadou SamakeDefensive MidfieldMali10.7M
26Adolf BitegekoDefensive MidfieldTanzania4M
6Feisal SalumCentral MidfieldZanzibar27M
2James AkaminkoCentral MidfieldGhana19M
17Sospeter BajanaCentral MidfieldTanzania7M
21Yahya ZaydAttacking MidfieldTanzania10M
22Tepsi EvanceAttacking MidfieldTanzania
9Abdul Hamisi SuleimanLeft WingerTanzania3M
19Gibril SillahLeft WingerThe Gambia16M
Cheickna DiakitéLeft WingerMali10.5M
23Iddy Seleman NadoLeft WingerTanzania6M
18Franck TiesseRight WingerCote d’Ivoire10.2M
Jhonier BlancoCentre-ForwardColombia17M
29Nassor SaadunCentre-ForwardTanzania3M
Adam Omar AdamCentre-ForwardTanzania3.5M
11Alassane DiaoCentre-ForwardSenegal20M

CHECK ALSO: