Msimamo Kundi la Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26, Ratiba ya Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/2026, RATIBA ya CAF Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026: SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi droo ya raundi ya kwanza na ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26.
Raundi ya Awali itaanza kwa mechi za mkondo wa kwanza kati ya 19-21 Septemba 2025 na mechi za mkondo wa pili kati ya 26-28 Septemba 2025. Raundi ya Awali ya Pili itafuatia Oktoba 17-19 (mguu wa kwanza) na 24-26 Oktoba (mguu wa pili).
Hatua ya Kundi itaanza tarehe 21 Novemba 2025, na awamu ya mtoano ikipangwa kuanza tarehe 13 Machi 2026.

Msimamo Kundi la Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
MD1: 21-23 November
MD2: 28-30 November
MD3: 23-25 January
MD4: 30 Janunary-01 February
MD5: 06-08 February
MD6: 13-15 February
Kundi B:
- Al Ahly (Misri),
 - Yanga SC (Tanzania),
 - AS FAR (Morocco),
 - JS Kabylie (Algeria)
 
CHECK ALSO:
					
							
							







Weka maoni yako