Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara

Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara | Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania – Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

Msimu wa 2023/2024 wa ligi kuu ya NBC Tanzania ulimalizika kwa kishindo, huku Yanga SC wakiibuka mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo. Wanajangwani hao walimaliza kileleni mwa msimamo wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30, wakishinda michezo 26, sare mbili na kupoteza miwili pekee. Azam FC na Simba SC zilimaliza nafasi za pili na tatu mtawalia, zote zikiwa na pointi 69, huku Azam FC ikiwatoa Simba kwa tofauti ya mabao.

Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa wa kusisimua zaidi, huku timu zikifanya usajili wa nguvu na kujiandaa kuwania taji la ubingwa. Je, Yanga SC wataweza kutetea ubingwa wao? Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara

Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara
Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara

Mashabiki wa soka wa Tanzania wana kila sababu ya kutarajia msimu uliojaa msisimko, ushindani mkali na mambo mengi ya kushangaza. Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 inaahidi kuwa msimu ambao hautakumbukwa kwa matokeo yake tu, bali pia kwa ubora wa soka utakaochezwa/Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara.

Msimamo wa NBC Premier League 2024/25 Ligi Kuu Bara

#ClubPWDLGFGAGDPts
1Young Africans2219125894958
2Simba2117314683854
3Azam22136332122045
4Singida BS22125531191241
5Tabora UTD2210752626037
6JKT Tanzania226971616027
7Dodoma Jiji217592227-526
8Fountain Gate2274112639-1325
9Coastal Union225981823-524
10KMC2266101532-1724
11Mashujaa225891726-923
12Namungo2265111627-1123
13Pamba Jiji2257101323-1022
14Tanzania Prisons2246121227-1518
15Kagera Sugar2237121630-1416
16KenGold2236131838-2015

CHECK ALSO: