Ratiba ya Mechi za 16 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-25 | Simba SC na Yanga SC Uwanjani kusaka tiketi ya robo fainali ya CRDB Cup.
Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanatarajia burudani kali katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, ambapo miamba ya soka, Simba SC na Yanga SC, watashuka dimbani kupambana na wapinzani wao.
Ratiba ya Mechi za 16 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-25
Ratiba ya Mechi:
13 Machi 2025 | Singida Black Stars 1-0 Kmc
13 Machi 2025 | JKT Tanzania 3-0 Mbeya Kwanza
13 Machi 2025 | Mbeya City 2-1 Mtibwa
25 Machi 2025 | Tabora Utd 🆚 Kagera Sugar
25 Machi 2025 | Mashujaa Fc 🆚 Pamba Jiji
26 Machi 2025 | Stand Utd 🆚 Giraffe Academy

Simba SC 🆚 BigMan FC
📅 Machi 27, 2025
🏟 KMC Complex
⏰ Saa 10 jioni
Yanga SC 🆚 Songea United
📅 Machi 29, 2025
🏟 KMC Complex
⏰ Saa 10 jioni
Mechi hizi zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku Simba SC na Yanga SC wakisaka ushindi ili kuendelea kwenye hatua ya robo fainali. Mashabiki wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kuunga mkono timu zao katika michuano hii muhimu.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako