Ratiba ya Mechi za Ligi ya Muungano 2025 | Bodi ya Wakurugenzi ya Ligi kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Chama cha Soka Zanzibar (ZFF), imetangaza rasmi ratiba ya mechi za Ligi ya Muungano 2025. Mechi zote zinatarajiwa kupigwa katika uwanja wa kisasa wa New Amaan Complex Zanzibar.
Mashindano haya ya kihistoria yanawakutanisha mabingwa na washindi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, kwa lengo la kudumisha mshikamano wa kimichezo baina ya pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ratiba ya Mechi za Ligi ya Muungano 2025
Robo Fainali
JKU SC 🆚 Singida BS SC
📅 23 Aprili 2025
🕚 Saa 11:00 Jioni
📍 Amaan Stadium
Zimamoto SC 🆚 Coastal Union SC
📅 24 Aprili 2025
🕥 Saa 10:15 Jioni
📍 Amaan Stadium
KMKM SC 🆚 Azam FC
📅 24 Aprili 2025
🕑 Saa 02:15 Usiku
📍 Amaan Stadium
KVZ FC 🆚 Yanga SC
📅 25 Aprili 2025
🕑 Saa 02:15 Usiku
📍 Amaan Stadium

Nusu Fainali
JKU SC/Singida BS SC VS KMKM SC/Azam FC
📅 27 Aprili 2025
🕑 Saa 02:15 Usiku
📍 Amaan Stadium
Zimamoto/Coastal Union VS KVZ/Yanga
📅 28 Aprili 2025
🕑 Saa 02:15 Usiku
📍 Amaan Stadium
Fainali
JKU SC/Singida BS SC/KMKM SC/Azam FC VS Zimamoto/Coastal Union/KVZ/Yanga
📅 30 Aprili 2025
🕑 Saa 02:15 Usiku
📍 Amaan Stadium
CHECK ALSO:
Weka maoni yako