Ratiba ya Mechi Zilizobaki za Yanga Msimu wa 2024/2025: Yanga SC inaendelea na kampeni yake ya kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara, zikiwa zimesalia mechi muhimu kabla ya kumalizika kwa msimu huu.
Ratiba ya Mechi Zilizobaki za Yanga Msimu wa 2024/2025
Hizi ndizo mechi tano za ligi, pamoja na fainali inayotarajiwa ya Kombe la Shirikisho la CRDB:

📅 Juni 18
Tanzania Prisons 🆚 Yanga SC
🏟️ Uwanja: Sokoine
📅 Juni 22
Yanga SC 🆚 Dodoma Jiji
🏟️ Uwanja: KMC
📅 Juni 25
Simba SC 🆚 Yanga SC
🏟️ Uwanja: Mkapa Stadium
🔴 Hii ni mechi yenye ushindani mkubwa wa jadi, inayoweza kuamua hatima ya ubingwa.
📅 Juni 29
Singida Black Stars 🆚 Yanga SC
🏟️ Uwanja: Amani Stadium
🏆 Fainali ya Kombe la CRDB
Ratiba hii inaonyesha Yanga SC inakabiliwa na changamoto ya mechi za ugenini, pamoja na mchezo mgumu dhidi ya Simba SC. Ili kufikia malengo yao ya ubingwa na/au ubingwa wa CRDB, watahitaji kudumisha nidhamu na kutumia vyema mechi zao za nyumbani.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako