Ratiba ya Michezo ya Robo Fainali Ramadhan Cup 2025 | Kombe la Ramadhani 2025: Robo Fainali na Mechi za Kusisimua Zinatarajiwa
Mashindano ya Ramadan Cup 2025 yanaingia robofainali, huku timu nne zikiwania nafasi ya kutinga nusu fainali. Mechi hizi zitachezwa kuanzia Jumatatu Machi 17 hadi Jumanne Machi 18, jioni kwa mujibu wa ratiba rasmi.
Ratiba ya Michezo ya Robo Fainali Ramadhan Cup 2025

Jumatatu, Machi 17
⚽ Yosam Investment vs King Boss Pikipiki 🕓 4:00 Usiku
⚽ Mshindi wa Kundi B vs Mshindi wa Pili wa Kundi D 🕔 5:00 Usiku
Jumanne, Machi 18
⚽ Muhimbili Hospital vs Master Rim FC 🕓 4:00 Usiku
⚽ Mshindi wa Pili wa Kundi B vs Mshindi wa Kundi D 🕔 5:00 Usiku
Mashabiki wanatarajia mechi kali na za kusisimua, huku kila timu ikipigania kutinga hatua inayofuata. Timu kama King Boss Pikipiki na Hospitali ya Muhimbili zinaonekana kuwa na nafasi nzuri, lakini wapinzani wao wanatarajiwa kupata upinzani mkali.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako