Ratiba ya Michuano CECAFA Womens Championship 2025 | Michuano ya CECAFA kwa Wanawake 2025 itaanza rasmi Ijumaa hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam. Haya ni miongoni mwa mashindano ya kwanza ya soka la wanawake katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, yakizikutanisha timu bora kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Ligi hiyo inalenga kuboresha kiwango cha soka la wanawake, kukuza vipaji, na kuongeza ushindani wa kimataifa miongoni mwa timu za ukanda huu. Michuano ya mwaka huu itashirikisha jumla ya timu tano (5), zilizogawanywa katika makundi mawili. Kila kundi litacheza mechi ya raundi ya pili ili kujua timu zitakazofuzu kwa nusu fainali.
Ratiba ya Michuano CECAFA Womens Championship 2025

Kwa mujibu wa ratiba iliyotangazwa na CECAFA mechi ya ufunguzi itachezwa Ijumaa Juni 13, 2025 ambapo timu ya Taifa ya Tanzania (Twiga Stars) itamenyana na South Sudani katika mchezo wake wa kwanza.
CHECK ALSO:
Weka maoni yako