Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetangaza rasmi ratiba ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika CAF msimu wa 2024/2025. Mashindano hayo yanashirikisha vilabu vya juu kutoka mataifa mbalimbali kuwania taji hilo la kifahari.

Klabu ya Simba SC maarufu kwa jina la wekundu wa msimbazi Simba imeendelea kuwa miongoni mwa klabu zenye rekodi nzuri katika mashindano ya kimataifa. Kutokana na ubora wake katika CAF, Simba SC ilikwepa awamu ya awali na kuanza moja kwa moja katika raundi ya pili ya michuano hiyo.

Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

02/04/2025 – Al Masry (Misri) vs Simba SC (Tanzania)
11/04/2025 – Simba SC VS AL Masry – Benjamini Mkapa

Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
  1. Raundi ya Mtoano ROBO FAINALI

    • Mpinzani: Simba SC itacheza dhidi ya AL MASRY CAF.
    • Mkondo wa Kwanza: Uwanja wa ugenini
    • Mkondo wa Pili: Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
  2. Hatua ya Robo Fainali

    • Mechi za mikondo miwili zitachezwa mwezi Aprili 2025.
  3. Nusu Fainali na Fainali

    • Hatua ya nusu fainali itafanyika Mei 2025, na fainali itachezwa Juni 2025.

Simba SC inajivunia uzoefu mkubwa katika mashindano ya Afrika, huku ikitarajiwa kupambana vikali kuhakikisha inafika mbali katika michuano hii/Ratiba Ya Simba CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025.

  • Faida ya Kuanzia Raundi ya Pili: Hii inawapa muda wa kujipanga vyema na kuongeza uimara wa kikosi chao.
  • Ushindani Mkali: Michuano hii inajumuisha klabu zenye ubora mkubwa barani Afrika, hivyo Simba italazimika kucheza kwa kiwango cha juu.
  • Historia na Ushawishi wa Simba SC: Timu hii imeonyesha ubora wake katika mashindano ya kimataifa, ikiweka historia kwa kufika hatua ya robo fainali na nusu fainali katika mashindano ya CAF miaka ya nyuma.

CHECK ALSO: